1 Samuel 16:21

21 aDaudi akafika kwa Sauli na kuingia kwenye kazi yake. Sauli akampenda sana, naye Daudi akawa mmoja wa wabeba silaha wake.
Copyright information for SwhNEN